366 Media for the best entertainment news

Friday, December 27, 2013

Sisi wanyambo blog ya kijamii

Sisi wanyambo blog ya kijamii, Tunadumisha mila na desturi zetu hapa. Unaweza kuwa miongoni mwa watu muhimu wanaodumisha utamaduni wa wanyambo kwa kuchangia mada mbalimbali zenye kujenga hapa. Kuwa mzalendo kwa kuenzi kabila lako. Tuungane kuhifadhi na kutangaza utamaduni wetu hapa. wanyambo hoyeee

No comments:

Post a Comment